Tuesday, July 8, 2014

Sofa set designs and how to take care






Kuna mambo mengi ambayo yanaweza kuharibu makochi yetu ya ngozi. Miongoni mwa haya ni  uvujaji wa maji, vumbi, jasho, mpaka hali ya hewa. Kama mambo haya hayajachukuliwa tahadhari masofa yetu huharibika  mara moja.

MWONGOZO

Hakikisha unaposafisha makochi yako tumia feather duster endapo ni ya ngozi na kamwe husitumie maji.
Unaweza ukasafisha angalau mara moja kwa wiki endapo hauna muda wa kutosha dawa za kusafishia zinauzwa karibu kila supermarket nchini Tanzania.


Kamwe husitumie sabuni ya unga ya kufulia kusafishia makochi yako maana yataharibika kwa haraka. 
Epuka kukaa juu ya armrest maana imetengenezwa kwa ajili ya kuweka mkono sio kwa ajili ya kukaaa ,uzito unachangia kuharibu,namaanisha uzito wa mwili. 

No comments:

Post a Comment