Monday, July 7, 2014

SITTING ROOM ARANGEMENT



Hakuna kitu kinachovutia kama kuwa na sitting room au living room nzuri.Kila mtu anapenda mambo mazuri,basi ili siku zote uhakikishe sebule yako iko vizuri basi zingatia yafuatayo.

Fanya usafi mara kwa mara pindi unapoona kuna uchafu.

Hakikisha sebule yako ina mwanga wa kutosha.

Epuka kupaka rangi nzito zinazoleta kiza ili sebule yako iweze pendeza mda wote.

Zingatia aina ya rangi,mapazia  tiles na carpet.
Siku zote sebule ikipangwa vizuri upendeza sana haijarishi kama furnitures zako ni gharama kubwa au ndog.

No comments:

Post a Comment