Friday, July 11, 2014

METAL BEDS







Kiukweli Metal beds humvutia kila mtu ,Kwa upande wangu napenda vitanda vya chuma kwa sababu :


Hudumu muda mrefu.

Havihitaji matengenezo mara kwa mara.

Vina huimara wa kutosha na upendeza kila unapovitazama.

Ni rahisi kufanya usafi.

Kamwe Haviwez Vunjika endapo chuma iliyotumika ni imara.

Mwisho kwa sababu unaweza paka rangi yoyote unayotaka,mfano  nyeupe ,nyeusi ,nyekundu,n.k

Tuesday, July 8, 2014

Sofa set designs and how to take care






Kuna mambo mengi ambayo yanaweza kuharibu makochi yetu ya ngozi. Miongoni mwa haya ni  uvujaji wa maji, vumbi, jasho, mpaka hali ya hewa. Kama mambo haya hayajachukuliwa tahadhari masofa yetu huharibika  mara moja.

MWONGOZO

Hakikisha unaposafisha makochi yako tumia feather duster endapo ni ya ngozi na kamwe husitumie maji.
Unaweza ukasafisha angalau mara moja kwa wiki endapo hauna muda wa kutosha dawa za kusafishia zinauzwa karibu kila supermarket nchini Tanzania.


Kamwe husitumie sabuni ya unga ya kufulia kusafishia makochi yako maana yataharibika kwa haraka. 
Epuka kukaa juu ya armrest maana imetengenezwa kwa ajili ya kuweka mkono sio kwa ajili ya kukaaa ,uzito unachangia kuharibu,namaanisha uzito wa mwili. 

Monday, July 7, 2014

DIFFERENT DESIGNS OF CURTAINS

Swag Curtains


Eyelet curtains

Royal curtains

Pelmet cutains

SITTING ROOM ARANGEMENT



Hakuna kitu kinachovutia kama kuwa na sitting room au living room nzuri.Kila mtu anapenda mambo mazuri,basi ili siku zote uhakikishe sebule yako iko vizuri basi zingatia yafuatayo.

Fanya usafi mara kwa mara pindi unapoona kuna uchafu.

Hakikisha sebule yako ina mwanga wa kutosha.

Epuka kupaka rangi nzito zinazoleta kiza ili sebule yako iweze pendeza mda wote.

Zingatia aina ya rangi,mapazia  tiles na carpet.
Siku zote sebule ikipangwa vizuri upendeza sana haijarishi kama furnitures zako ni gharama kubwa au ndog.